Ratiba ya Simba kuelekea tamasha la Simba
Day
Leo wachezaji
, viongozi na wanachama watatembela hospotali ya mwananyamala kuzungumza na
kutoa michango kwea wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo zoezi ambalo
litafanyika saa tano asubuhi
Jumatano
kutakuwa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya City Stars ya Kenya katika
uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam ambapo wachezaji wapya watatambulishwa .
Mrisho Ngasa
atatambulishwa rasmi kwa wanachama ilhali Emmanuel Okwi atakaribishwa rasmi
wakati huu ambapo wanasubiri majibu ya majaribio yake Austria ambapo hii leo
atawasili nchini.
Simba
itamtangaza mchezaji mwenye nidhamu ambapo atapewa zawadi maalum ambapo pia
watatoa tuzo kwa wanahabari.
Katika
mchezo dhidi ya City Stars viingilio itakuwa shilingi elfu 5,8,10,15 na 20.
Alhamisi
watatembelea kituo cha watoto yatima cha Maunga Orphan centre na ijumaa
watakuwa TBL.
No comments:
Post a Comment