Kocha mpya wa Azan fc Boris Bunjak a.k.a.Boca akiongea na waandishi wa habari hii leo katika ofisi za klabu ya Azam Mzizima mills flour kushoto ni makamu mwenyekiti wa klabu hiyo Said Mohamed Said. |
Makamu mwenyekiti wa Azam Said Mohamed Said akimtambulisha kocha wao mpya Boris Bunjak |
Jina kamili :BORIS BUNJAK
| |
Kuzaliwa : | 17.11.1954. |
Uraia : | Serbian |
Nafasi : | Coach |
Lugha : | English , Rusian , Serbian |
Elimu katika soka : | Cheti cha ngazi ya juu cha kufundisha soka LESENI YA UEFA (UEFA– PRO LICENCE) |
Vilabu alivyo fundisha na miaka 2011 2011- 2009-10 2008-09 TECHNICAL SUPERVISOR 2007-08 COACH 2006-07 2005-06 2004-05 TEAMCOACH 2002-04 2000-02 1999-00 1998-99 1996-97 1995-96 1993-94 1990-93 | |
Vilabu alivyochezea kama mchezaji 1967-75 FK „SLOGA“ Kraljevo 1975-78 FK „VOZDOVAC“ Beograd 1978-79 FK „RADNICKI“ Kragujevac 1979-80 FK „ OLIMPIA“ Ljubljana 1980-81 FK „ SUMADIJA“ Arandjelovac 1981-85 FK „SLOGA“ Kraljevo 1985-86 FK „BORAC“ Cacak 1986-90 FK „ SLOGA“ Kraljevo
Boris Bunjak a.k.a Boca atakuwa akimrithi mtangulizi wake Stewart
John Hall kutoka nchini uingereza ambaye mkataba wake ulisitishwa rasmi tarehe 31/07/2012 .
Makamu mwenyekiti wa Azam Said Mohamed Said amesema 'BOCA ameingia mkataba wa miaka miwili kuifundisha timu hiyo.
Chini ya
Stewart Hall, Azam FC ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa Mapinduzi Cup, Kushika
nafasi ya pili katika ligi kuu, Mashindano ya Urafiki na Kombe la kagame yakiwa
ni mafaniko ambayo hayajawahi kufikiwa na makocha wote waliotangulia katika historia
hiyo.Stewart Hall ameacha changamoto kubwa sana kwa mrithi wake ambaye atalazimika kufuata mfumo wa uchezaji ulioachwa na Stewart Hall kwani hiyo ndiyo Playing Philosophy ya Azam FC Kwa sasa timu itakuwa chini ya Vivek Nagul na Kally Ongala |
No comments:
Post a Comment