KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, October 2, 2013

kocha wa Nigeria Stephen Keshi aonywa na Fifa kwa maoni yake ya kibaguzi kwa kocha wa zamani wa Yanga.

Kocha wa kikosi cha timu ya taifa ya Nigeria Stephen Keshi ameonywa na shirikisho la soka duniani Fifa juu ya mwenendo wake wa baadaye kufuatia maoni yake kwa kocha wa zamani wa Malawi Tom Saintfiet mwezi Agosti.
Chama cha soka cha Malawi (FAM) kilimripoti Keshi kwa Fifa baada ya kumbagua kocha huyo kwa utaifa wake kwa kumuita mzungu anatakiwa kurudi kwao.

FAM lishutumiwa kwa maoni yao ambayo yaliyo tangulia kabla ya mchezo wao wa kusaka nafasi ya kucheza kombe  la dunia mwezi Septemba kuwa yalikuwa ni ya kibaguzi.

Fifa said it would "impose sanctions if such incidents happen again".
A Fifa spokesperson wrote in an email to Nigeria's This Day Newspaper: "The chairman of the Fifa Disciplinary Committee referred to article 57 of the Fifa Disciplinary Code and requests that Mr Keshi guarantees that incidents of such high gravity do not occur again in the future.
"If such incidents should happen again, the Fifa Disciplinary Committee will be left with no other option than to impose sanctions against the coach, Mr Stephen Keshi."
Keshi and Saintfiet became embroiled in a row after the Belgian said the qualifier should be moved from the Nigerian city of Calabar on security grounds.
It escalated when Keshi reacted angrily to Saintfiet's suggestion that Calabar is not safe.
The match went ahead in Calabar on 7 September and Nigeria won 2-0, sending them through to the final round of African qualifying for next year's tournament in Brazil.
The African Champions will face Ethiopia in Addis Ababa on 12 October for the first match of the two-legged tie, with the return in Calabar on 16 November.

No comments:

Post a Comment