Kocha wa kikosi cha timu ya taifa ya Uholanzi Louis van Gaal ametangaza kikosi cha timu ya taifa cha wachezaji 24 kwa ajili ya michezo miwili ya kirafiki .
Kikosi hicho kitakuwa kitakutana na Japan katika mji mkuu wa Belgium wa Genk Novemba 16
na baadaye kukutana dhidi ya Colombia mjini Amsterdam Novemba 19.
Uholanzi ambayo mwezi September ilipata nafasi ya kucheza kombe la dunia nchini Brazil, ilishinda michezo yake miwili ya mwisho ya hatua ya makundi dhidi ya Hungary na Uturuki.
KIKOSI KAMILI
Goalkeepers: Jasper Cillessen (Ajax Amsterdam), Michel Vorm (Swansea City)
Defenders: Daley Blind (Ajax Amsterdam), Jeffrey Bruma
(PSV Eindhoven), Stefan de Vrij, Bruno Martins Indi, Daryl Janmaat (all
Feyenoord), Gregory van der Wiel (Paris Saint-Germain), Paul Verhaegh
(FC Augsburg), Ron Vlaar (Aston Villa), Jetro Willems (PSV Eindhoven)
Midfielders: Jordy Clasie (Feyenoord), Jonathan de
Guzman (Swansea City), Nigel de Jong (AC Milan), Leroy Fer (Norwich
City), Stijn Schaars (PSV Eindhoven), Wesley Sneijder (Galatasaray),
Kevin Strootman (Roma), Rafael van der Vaart (Hamburg SV)
Forwards: Memphis Depay (PSV Eindhoven), Dirk Kuyt
(Fenerbahce), Jeremain Lens (Dynamo Kiev), Arjen Robben (Bayern Munich),
Robin van Persie (Manchester United)
No comments:
Post a Comment