Licha ya kuwa msaada mkubwa katika kufanikisha ubingwa wa klabu ya Gor Mahia ya kenya kwa mara ya kwanza baada ya miaka 18, kampuni ya ligi ya soka nchini Kenya KPL imemtosa mlinda mlango wa kimataifa wa Tanzania Ivo mapunda katika minyanganyiro cha kuwania tuzo ya mlinda mlango bora wa mwaka.
KPL imetoa orodha ndefu ya wachezaji watakao wania tuzo hiyo kutoka katika nafasi mbalimbali za uchezaji huku Mapunda akikosa nafasi hiyo na nafasi yake ikienda kwa Jerim Onyango wa kutoka klabu hiyo.
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji na nafasi wanazochezea.
GOAL KEEPER OF THE YEAR:
Wycliffe Kasaya (Sony Sugars)
Jerim Onyango (Gor Mahia)
Wilson Obungu (Bandari)
Duncan Ochieng (Sofapaka)
Sammy Okinda (KCB)
DEFENDER OF THE YEAR:
David ‘Calabar’ Owino (Gor Mahia)
Felly Mulumba (Sofapaka)
Mohammad Sharif (Bandari)
John Odhiambo (KCB)
David Mwangi (Mathare)
FAIRPLAY AWARD:
James Situma (Sofapaka)
Shaban Kenga (Bandari)
Sammy Kinda (KCB)
Olivier Ruto (Ulinzi)
Dennis Okangi (Western Stima)
COACH OF THE YEAR:
David Ouma (Sofapaka)
Abdallah Juma (KCB)
Twahir Muhiddin (Bandari)
Robert Matano (Tusker FC)
John Kamau (Thika)
MIDFIELDER OF THE YEAR:
Peter Opiyo (AFC Leopards)
Paul Were (AFC Leopards)
Francis Kahata (Thika)
Shaban Kenga (Bandari)
Brian Osumba (KCB)
YOUNG PLAYER OF THE YEAR:
Patilla Omotto (AFC Leopards)
Moses Mudavadi (Home Boys)
Micheal Olunga (Tusker FC)
Sammy Meja (Thika)
Stephen Wakanya (Chemelil)
BEST PLAYER OF THE YEAR:
Allan Wanga (AFC Leopards)
Dan Sserunkuma (Gor Mahia)
Jacob Keli (KCB)
David Owino (Gor Mahia)
Shaban Kenga (Bandari)
FAIRPLAY TEAM OF THE YEAR:
KCB
Muhoroni
Sofapaka
HomeBoyz
Western Stima
TEAM MANAGER OF THE YEAR:
Dan Omondi (Karuturi)
Josaphat Keli (KCB)
Alfred Achayo (Bandari)
Tom Ochieng (Chemelil)
Moses Nyalik (Western Stima)
No comments:
Post a Comment