P-SQUARE WAVUNJA REKODI JIJINI DAR ES SALAAM, WAFANYA SHOW MOJA YA NGUVU WAKAZI WA JIJI WAJITOKEZA KWA WINGI ZAIDI
Wasanii wa kundi la P- Square (Peter na Paul Okoye) jukwaani wakiwaburudisha wakazi wa jiji Peter na Paul Okoye jukwaani
T-bway Dulla (Abdallah Ambua) akiimba juwaaani Wakazi wengi wa jiji walijitokeza kuja kuona show hiyo ya wasanii kutoka Nigeria wa kundi la P Square Peter na Paul Okoye. Kundi la asilimia 100 likiendelea kufanya vitu! Kundi la asilimia 100 likifanya mambo jukwani kwenye ukumbi wa Leaders Kinondoni Jijini Dar es salaam usiku huu.
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Benard Paul 'Ben Pol' akiimba baadhi ya nyimbo zake jukwaani usiku huu Kila mtu alikuwa na tabasamu lake hapa! kwenye Uwanja huu wa Leaders Kinondoni jijini Benard Paul 'Ben Pol' akiteka nyoyo za mashabiki wake hapa baada ya kuachia wimbo wa pili mfululizo! Taswira!
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Benard Paul 'Ben Pol' akiimba wimbo wa mapenzi na msanii mwenzake Alice Mkongwe katika game la bongo flava Prof Jay alivua kofia Joh Makin kutoka kundi la weusi akiachia nae wimbo wake Msanii
mkongwe wa Muziki wa kizazi kipya Lady Jay Dee akiimba jukwaani
kuwatumbuiza mashabiki wake, Hawa wasanii wanne tu toka Tanzania Lady
Jay D, Ben Pol, Profesa J na Joh Makini ndio walipanda jukwaa moja na
P-SQUARE ili kukupa muda mrefu wa burudani yenye viwango kama vya
P-SQUARE Lady Jay dee na Vijana wake wakisakata muziki jukwaani usiku huu mapema kabla kundi la P-Square alijaanza Show yake!
No comments:
Post a Comment