KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, January 17, 2014

Gedo wa Misri achemsha soka la England aamua kurejea nyumani

Mshambuliaji wa Misri, Gedo, amerejea katika klabu ya Al Ahly, baada ya klabu ya ligi ya Uingereza ya Hull kusitisha huduma za mchezaji huyo kwa klabu hiyo.
Gedo alikuwa anachezea Hull kwa mkopo.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 29, alianza msimu wake wa pili na Hull mwezi Septemba baada ya kuingiza mabao matano katika michezo 12 msimu uliopita.
Lakini hata hivyo amepata nafasi tu mara tatu tu na kutumiwa kama mchezaji wa akiba mara mbili katika ligi hiyo.
Wakati Hull ilipowasajili Nikica Jelavic na Shane Long ,hapo ndipo huduma za Gedo zilipositishwa Hull.

No comments:

Post a Comment