Mshambuliaji wa Reading Jason Roberts ametangaza kustaafu kucheza soka kufuatia kusumbuliwa na majeraha.
Roberts mwenye umri wa miaka 36 kwa mara ya mwisho kuonekana uwanjani ilikuwa ni Disemba 8 2012 baada ambapo baadaye Machi 2013 alifanyiwa upasuaji wa paja.
Tangu wakati huo hakuweza kurejea tena uwanjani kutokana na kutokupata nafuu kiasi kupelekea kutangaza kujiuzulu hii leo Alhamisi.
Vilabu alivyopitia Jason Roberts
- 1996-1997: Hayes
- 1997-1998: Wolverhampton Wanderers
- 1997-1998: Torquay United (loan)
- 1998: Bristol City (loan)
- 1998-2000: Bristol Rovers
- 2000-2004: West Bromwich Albion
- 2003-2004: Portsmouth (loan)
- 2004-2006: Wigan Athletic
- 2006-2012: Blackburn Rovers
- 2012-2014: Reading
Amenukuliwa akisema
"It is with great sadness that I
have to announce my retirement from professional football on medical
grounds,"
No comments:
Post a Comment