KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, March 26, 2014

Paul Scholes alaumu safu ya kiungo ya Arsenal haina nidhamu ya kimchezo kama enzi za akina Patrick Viera

Arsenal wamejikuta katika lawama kubwa kutoka kwa nyota wa zamani wa Manchester United Paul Scholes ambaye katika mchezo wa jana dhidi ya Swansea ambao ulimalizika kwa sare huku Scholes akiwa kama mchambuzi wa mchezo huo.

Kiungo huyo wa zamani wa England ambaye si mzungumzaji sana ametanabaisha wazi kuwa washika mitutu wa London wako mbali sana na taji la ligi ya England mwenyewe akitumika maneno ya kimombo 

'Gunners are a million miles from being serious title contenders' ukilinganisha na wakati huo vikosi vya Arsene Wenger vilivyo kuwa bora yaani 'classic Highbury teams'.

Amemtupia lawama Wenger kwa kuingiza viungo bila ya mipango ya kimchezo.

Pia lawama nyingine zimekwenda kwa Jack Wilshere kwa kutokuwa katika kiwango bora ukilinganisha na alivyokuwa huko nyuma akiwa na miaka 17.
Scholes lays into 'leaderless' Arsenal
Santi Cazorla ni miongoni mwa viungo wanaolaumiwa na Scholes
Baada ya matokeo ya 2-2 uwanja wa nyumbani dhidi ya Swansea, sare ambayo inafuatia kichapo cha mabao sita kutoka kwa watoto wa Stamford Bridge Chelsea, Scholes amekaririwa na Sky Sports akisema.

'Typical week for Arsenal, really.

‘Walishindwa kupambana dhidi ya Chelsea na inaonekana hali ni ile ile kama ilivyokuwa katika michezo dhidi ya timu kubwa, imetokea hivyo dhidi ya Liverpool, na kufungwa sita dhidi ya City.
‘kwasababu moja au nyingine wachezaji wanaonekana wanakosa kitu.Artetas, Cazorlas, Rosickys, Ozils ingawa najua hakucheza vizuri.
 
‘Wanaingia uwanjani bila nidhamu, viungo watano mmnaingia uwanjani na kufanya unachokitaka wewe They go on the pitch with no discipline. It’s as though, “You four, five midfielders go out there and do what you want – try and score a goal. A few nice one-twos, nice tippy tappy football – but don’t bother running back”. That is my thoughts on it.

‘Sijui kama ni tatizom la meneja, lakini hivyo ndivyo ilivyo , wachezaji viungo kutokuwa na nidhamu hakuna kiongozi uwanjani, hakuna Patrick Vieira, hakuna Adams wala Martin Keown.’
Patrick Vieira
Gunners legend Patrick Vieira
Scholes lays into 'leaderless' Arsenal
Jack Wilshere

No comments:

Post a Comment