KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, May 12, 2014

Mmiliki wa clippers aomba radhi matamshi yake ya kibaguzi

Wachezaji wa timu ya Clippers wakijiandaa kwa mechi
Mmiliki wa klabu ya mpira wa vikapu ya Los Angeles Clippers, Donald Sterling, ameomba radhi kwa matamshi yake ya kibaguzi.
Shirikisho la mchezo huo nchini Marekani lilimpiga marufuku maisha.
Bwana Sterling aliambia kituo cha televisheni cha American TV kuwa alifanya kosa kubwa sana ambalo hata hajui anavyoweza kulirekebisha.
Katika mahojiano yatakayopeperushwa leo, itakuwa kauli ya kwanza ya Sterling tangu kutokea kakanda nambayo alikuwa anamkarpia mpenzi wake kumtaka akome kujihusisha na watu weusi.

No comments:

Post a Comment