HAPPY BIRTHDAY MDAU MAHMOOD ZUBEIRY MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU.
|
Dina
Ismail akimlisha keki mumewe, Bin Zubeiry katika sherehe ya miaka 35 ya
kuzaliwa kwa mumewe huyo, iliyofanyika kwenye ukumbi wa City Sports
Lounge, Dar es Salaam usiku wa jana. |
|
Mama na wana; Dina Ismail akiwa wanawe, Princess Asia na Prince Akbar |
|
Dina na makinda yake |
|
Bin Zubeiry akimlisha keki kijana wake ambaye yuko tayari kutembea kwa miguu, kulala na njaa lakini asisaliti, Elius Kambili |
|
Watu wanaserebuka bwana... |
|
Dina akiwa rafiki zake |
|
Mwani na Zai wakila mangoma |
|
Bin Zubeiry baada ya kumlisha keki Jennifer Ulembo |
|
Mapacha Watatu, kulia Princess Asia, kushoto Prince Akbar na katikati Precious Boniface |
|
Bin Zubeiry akimlisha keki binti yake wa kwanza, Zai |
|
Baba na Mama wakikata keki |
|
Bin Zubeiry akimlisha keki mama yake wa kambo, Mwani Nyangassa |
No comments:
Post a Comment