Frank
Lampard anaanza maisha mapya nchi jijini Manchester nchini England ambapo usiku wa jana ameonekana akitoka kwa chakula cha jioni katika mgahawa mmoja maarufu San Carlo akiwa na mchumba wake Christine
Bleakley baada ya kuanza siku yake ya kwanza ya mazoezi na klabu yake mpya ya Manchester City.
Lampard
amesema kuwa kujiunga na klabu nyingine ndani ya 'Premier League' baada ya utumishi wake wa miaka 13 katika klabu ya Chelsea anahisi 'very strange' ingawa amebadili mji wa kaskazini ya nchi.
No comments:
Post a Comment