KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, August 6, 2010


kwasababu mwezi mtukufu unakaribia bila shaka wapo waumini wa dini ya kiislamu watakuwa nafunga pia, so bila shaka watu burudani inaondoka na juma lijalo na weekend hii ndo wiki ya mwisho la kuvunja jungu.







1 comment:

  1. Afadhli mwezi uje
    Hivi ni kwanini kila mwezi usiwe mtukufu? Ni kwanini watu waigize utakatifu kwa mwezi mmoja tu? Na lile VUNJA JUNGU ambalo huambatana na uzinzi si linafanyika just days kabla ya kuanza kwa Ramadhani?
    Kwa hakika tunastahili kuwaamsha wanadamu kujua kuwa kila mwezi waweza na watakiwa kuwa mtukufu
    Anyway
    Natumai mengi yafunzwayo wakati huu yata-stick
    Blessings

    ReplyDelete