maandalizi ya kumsaka mrembo wa tanzania yameanza
Miss Tanzania wa mwaka jana Miriam Gerald katika picha katikati baada ya kuvishwa taji la ushindi wa miss vodacom 2009/2010 wakati mazoezi ya kusaka mrembo wa 2010/2011 yakiwa yameanza swali ni je nani kurithi taji hili toka kwa Miriam Miria wa tatu kulia akiwa katika foleni ya kujiandaa kujibu moja kati ya mwasali muhumu mwaka jana katika shindano la kumsaka mnyange wa Tanzania
No comments:
Post a Comment