Bosi wa klabu ya Tranmere Les Parry amesema Dale Jennings ana kipaji cha kuweza kuichezea klabu kubwa kama Bayern Munich baada ya kijana huyo kufanikisha usajili wake kuelekea katika klabu hiyo ya nchini Ujerumani
Kijana huyo mshambuliaji mwenye umri wa miaka 18 amejiunga na Bayern kwa mkataba usiokuwa wazi hii leo baada ya kuitumikia klabu ya zamani kwa msimu mmoja akiwa katika kikosi cha kwanza.
Akikaririwa Parry amesema
"anaweza kuichezea Bayern Munich muda wote au anaweza kupigania kufanya hivyo hilo lipo ndani ya uwezo wake”.
Jennings ameifungia klabu yake ya Tranmere msimu uliopita jumla ya mabao sita baada ya kuchezea jumla ya michezo 32 baada ya kuanza kupata nafasi katika kikosi cha kwanza mwezi September.

No comments:
Post a Comment