

The Gunners imesha kataa offer toka Barcelona kwa ajili ya Fabregas lakini pia wakiwa tayari wamepokea offer ya pauni milioni 20 toka kwa Manchester United wakitangaza kumtaka Nasri licha ya kwamba Gunners wamekanusha.
Anakaririwa Wenger akisema
"msimamo wetu ni ule ule tunataka Cesc asalie hapa na nitapigania hilo kwa nguvu zote na kumbakisha "
"Samir Nasri kwa upande ni vilevile"
No comments:
Post a Comment