Teves:Nataka kuondoka Man City
Carlos Tevez kwa mara nyingine tena amezungua juu ya haja ya kutaka kuondoka katika klabu ya d to leave Manchester City.
Kufuatia kusimama katika klabu katika kipindi cha mwezi januari Tevez sasa anasema amemaliza maisha yake ndani ya Eastlands na kufuatia malumbano ya hivi karibuni juu ya maisha ya Manchester hususani juu ya sababu za kifamilia, hiyo sasa inakuwa ndio inakuwa sababu ya yeye kuondoka ndani ya klabu hiyo.
Hivi karibuni akiwa katika ainali ya michuano ya Copa akiwa na kikosi cha timu ya taifa ya Argentina, Tevez umri wa miaka 27,amekaririwa akisema amefanya mazungumzo na mwenyekiti wa City Khaldoon Al Mubarak kutoa majibu ya maamuzi yake.
"It is with great regret that I have to inform Manchester City of my wish to leave the club. I would like to state that I have great respect for the club, its supporters and the owner, Sheik Mansoor, who has been nothing other than respectful to me," he told the Daily Mail.
Akikaririwa Teves anasema
"nina matumaini kwamba watu wananielewa juu ya hali ngumu ya kimaisha niliyokuwa nayo katika kipindi cha miezi 12 na familia yangu.
"kuishi bila ya watoto wangu ndani ya Manchester imekuwa ni changamoto kwangu,kila kitu ninacho fanya ninafanya kwa ajili ya mabinti zangu Katie na Florencia.nahitaji kuwa nao karibu na kuwa nao kwa muda mrefu,nahitaji kuwepo ndani ya maeneo ambayo wanaendana nayo.
"kuwa nahodha wa Manchester City ,kufuzu kwa Champions League,kushinda FA Cup na kumaliza mfungaji bora msimu ulipita kwangu ni fahari kubwa.
"nina matumaini kuwa mashabiki wa City watanielewa kwamba nimewatumikia kwa nguvu zangu zote ndani ya uwanja na kujitolea kwa ajili ya city kwa kuwa ilikuwa ni kwa ilikuwa ni asilimia 100 dimbani.
Taarifa za kutaka kujiunga na Real Madrid zimeingia baridi baada ya kuwepo taarifa za Juventus kumtaka lakini pia kumekuwepo na taarifa za kubadilishwa na klabu ya Inter Milan huku Samuel Eto'o akielezewa kutaka kuelekea Man City.

No comments:
Post a Comment