
Nolan m,wenye umri wa miaka 29 alisabisha mshangao wa uhamisho wa pauni milioni 4 wa kuelekea Upton Park mwezi uliopita na kujiunga tena na kocha wake wa zamani Sam Allardyce licha ya kuwa ni mmoja wa wachezaji walioizamisha klabu hiyo iliyoshuka daraja na kuelekea ligi ndogo ya Championship licha ya kwamba alikuwa ni miongoni mwa wale walio irejesha Newcastle katika mafanikio .
Kiungo huyo wa zamani wa Bolton alikuwa ni nahodha wa Magpies katika msimu wa 2010-11 huku akipashika wavuni jumla ya mabao 12 katika Premier League katika jumla ya michezo 30.
No comments:
Post a Comment