Wimbledon 2011: Novak Djokovic amchapa Rafael Nadal katika fainali na kutwaa taji kwa mara ya kwanza

Djokovic amepata ushindi wa 6-4 6-1 1-6 6-3 na kumstaafisha rasmi Nadal kama bingwa wa Wimbledon
Huu unakuwa ni ushindi wake wa 50 katika jumla ya michezo 51 na huu unakuwa ni ushindi wake wa tano dhidi ya Nadal mwaka huu.

No comments:
Post a Comment