Nyota huyo
wa New York Red Bulls na mwasisi wa klabu ya Arsenal ameeleza hilo alipokuwa
akizungumza na Goal.com kuhusiana na
hatma yake ya baadaye alipokuwa ka uzindizi wa PUMA's evoSpeed jijini New York nchini
Mrekani jana.
Amenukuliwa
akisema
"kile
ninacho fikiria kuhusiana na hilo ni kwamba jambo hilo ni gumu usifikiri juu ya
hilo unahitajika kuwa mwalimu tena mwalimu mkuu. Kufundisha si jambo la mzaha
wakati mwingine unaweza kufikiria wewe mwenyewe lakini ni jinsi gani ya kulipisha
?ameuliza
Mwaka jana ,
Henry aliwaambia wanahabari kuwa ndoto yake ni kuichukua Arsenal baada ya kocha
wa sasa Arsene Wenger atakapo amua
kustaafu.
Hata hivyo
hakuweza kuweka wazi point ya msingi ya mabadaliko yaliyoko katika akili yake, na
kueleza kuwa siku zote amekuwa ni mtu wa kutazama juu na mbinu ya kukabiliana
nazo.
Baada ya
kustaafu kutoka katika soka Henry ameendelea kusema kuwa atakuwa ni mtu wa
kushawishi fursa zilizoko ndani ya michezo lakini kwasasa hajaamua ni zipi hizo.
Lakini bado bila shaka hajawa wazi kama atakuwa kocha.
Henry pia
amemzungumzia mshambuliaji mwenzake wa zamani wa timu ya Taifa ya Ufaransa Nicolas
Anelka juu ya maamuzi yake ya kuelekea kucheza soka nchini China na kuachana na
soka la Marekani .
Wakati Didier
Drogba akionekana kumfuata Anelka katika klabu ya Shanghai Shenhua Henry haamini
kuwa ni kuikacha ligi ya Marekani ya kaskazini.
Henry hata
hivyo hakuzungumzia lolote juu ya hatma ya mshambiliaji Drogba lakini amedai
kuwa bado kuna wachezaji wengi ambao wanataka kujiunga na MSL.
Amesema
"tangu
nilipoanza kucheza soka nikiwa mdogo na umri wa miaka 16 nilikuwa nikitaka
kucheza New York ,"
"nilitaka
wengi waje na najua wako wengi wanataka kuja hapa".
No comments:
Post a Comment