KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, July 19, 2012

KAGAME CUP:MAFUNZO NJIA NYEUPE

Kufuatia sare ya leo ya bila kufunga kwa Mafunzo dhidi ya Tusker fc ni wazi kuwa mafunzo itakuwa imefuzu kucheza robo fainali ya michuano ya Kagame baada ya kupata sare nyingine katika mchezo wake wa kwanza dhidi ya Azam katika mchezo wa kwanza.
Azam imefikisha points mbili na wanasubiri matokeo ta mchezo wa mwisho wa kundi hilo katika Tusker dhidi ya Azam fc.
Azam ilikwenda sare na Mafunzo nayo Tusker imepata sare na Mafunzo hii leo kwa maana hiyo Tusker na Azam zote zina point moja kila moja na zinatarajia kukutana jumamosi saa nane mchana na kuamua nani wa kusonga mbele.

No comments:

Post a Comment