Mlinzi wa Manchester City Kolo Toure ana matumaini
ya kukamilisha uhamisho kuelekea Galatasaray kabla ya dirisha la uhamisho la
Uturuki halijafungwa jumatano hii.
Mlinzi huyo wa zamani wa Arsenal, alijiunga na
mabingwa wa Premier League kwa euro milioni 15 mwaka 2009, lakini kutokana na
uwepo wa Vincent Kompany na Joleon Lescott ambao ndio kikosi cha kwanza kwa
meneja Roberto Mancini kinamfanya mlinzi huyo raia wa Ivory Coast kuona hana
nafasi tena
No comments:
Post a Comment