KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, December 29, 2012

KUTOKA KWA MBWANA SAMATA KWENDA KWA WATANZANIA KUPITIA MTANDAO WA FACEBOOK.

Mbwana Ally Samatta.
 
Hakuna binadamu aliyekamilika kwa moyo mkunjufu nakubali nimetenda makosa na naomba radhi kwa watz wote ata km sio mpenda michezo na kuhaid hali iyo aitajitokeza tena tunakaribia mwaka 2013 naitaj radhi zenu hili mwaka ujao uwe wa mafanikio kwa tz na kwa samatta pia.merry chrismas to oll.

1 comment:

  1. Samatta huo ndio uanaume chamsingi kuwa makini watanzania wanakupenda na wanataka muipeperushe vyema bendera ya Nchi yetu mkifahamu fika kwamba Watanzania wanaitaji mabadiliko ya soka kwa kupitia wachezaji kama ninyi mliopata duwa zao na kufikia hapo mlipofika kaka.Zaidi tunakupenda wewe cheza mpira kaka!

    ReplyDelete