KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, January 12, 2013

MAJEMBE YA SIMBA YAONGEZEKA KAMBINI OMAN.(Picha zote na Salehe Ally wa gazeti la Championi)

Wachezaji wawili wa Simba Ramadhani Singano na Omari Seseme wakipokewa na mwenyeji wa klabu ya Simba nchini Oman ambaye pia mchezaji na kocha wa zamani wa Simba Twalib Hilali kulia baada ya kuwasili jana na kuungana na wachezaji wengine waliotangulia huko Jumatano kwa lengo la kuanza kambi ya wiki mbili ya maandalizi ya ligi kuu ya Tanzania bara na klabu bingwa Afrika.
Kocha mkuu wa Simba Mfaransa babu Pat5ick Liewig akiongoza mazoezi ya vijana wake huko Oman hapo jana.
Hapa ni baada ya kumaliza mazoezi asubuhi ya jana kama kawaida ni kumshukuru mungu..
Babu Patrick Liewig akiwa mazoezini na timu ya Simba nchini Oman hapo jana.