|
Mshambuliaji wa Yanga Jerson Tegete akimtoka mlinda mlango Afrikan Lyon katika mchezo ambao umefanyika hii leo uwanja wa taifa kati ya Yanga na Afrikan Lyon ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 huku mabao ya Yanga yakifungwa na Jerson Tegete, Didier Kavumbagu na Nizar Khalfani. |
MATOKEO MENGINENI KAMA IFUATAVYO
KAGERA SUGAR 1 AFRIKA VS 0 COAST UNION
TOTO AFRIKA 2 VS 2 POLISI MOROGORO
MGAMBO JKT VS JKT OLJORO
MTIBWA SUGAR 0 VS 0 RUVU SHOOTING
No comments:
Post a Comment