RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA UJENZI WA UWANJA WA AZAM COMPLEX.
Rais wa jamhuri ya muungano wa
Tanzania Jakaya Mrisho kikwete hii leo amekata utepe kuzindua ujenzi wa
kiwanja cha kisasa cha soka cha azam complex chamazi nje kidogo ya jiji
la Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment