KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, March 9, 2013

YANGA YAZIDI KUPAA KATIKA MSIMAMO WA LIGI KUU YA SOKA TANZANIA BARA, BAADA YA KUWAKANDAMIZA TOTO TAIFA.

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima akiruka kwanja la mlinzi wa Toto Afrika.
Hivi ndivyo bao la Yanga lilivyopatika likifingwa na Nizar Khalfani hayuko pichani
Mshambuliaji wa Yanga Simon Msuva akipiga shuti huku beki wa Toto African Robert Magadula akimkimbilia  wakati wa mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa uwanja wa Taifa jana, Yanga ilishinda bao 1-0. Picha na Rahel Pallangyo.
Mshambuliaji wa Yanga Didier Kavumbagu akitoa pasi kwa Hamis Kiiza wakati wa mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa uwanja wa Taifa jana, Yanga ilishinda bao 1-0. Picha na Rahel Pallangyo.
Golikipa wa Toto African Eric Ngwegwe akidaka mpira ambao mshambuliaji wa Yanga  Hamis Kiiza alikuwa anaukimbilia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa jana uwanja wa Taifa, Yanga ilishinda bao 1-0. Picha na Rahel Pallangyo.

No comments:

Post a Comment