Trouble: Smoke rises from the Egyptian Soccer Federation after protesters set it on fire
Mashabiki wa soka wa klabu ya Al-Ahly katika jiji la Cairo nchini Misri wamezua balaa katika jiji hilo ikiwa ni pamoja na kuichoma moto ofisi ya shirikisho la soka nchini humo kufuatia mahakama jijini Cairo kutoa hukumu ya kifo kwa mashabi 21 wa soka.

 
 Mapema asubuhi ya leo mahakama ya Cairo imethibitisha hukumu ya vifo hivyo kufuatia kuuwawa kwa mashabiki 74 na wengine zaidi ya 1,000 kujeruhiwa baada ya mchezo uliopigwa mwezi januari baina ya Al Masri ya Port Side na Al-Ahly.

Hukumu ya kifo iliyotolewa mwezi Januari imethibitishwa hii leo na mahakama mjini Cairo na kupokelewa kwa hasira nchini humo.
Wale waliohukumiwa kifo wengi wao ni mashabiki wa Al Masry ya Port Said ambao buila shaka sasa watakuwa wanaelekea kunyongwa.
Vurugu kubwa zimeibuka katika mji wa Suez Canal city.
Itakumbukwa watu 40 walifariki dunia mara baada ya hukumu hiyo kutangazwa kwa mara ya kwanza January 26, na wengi wao waliuwawa kwa kupigwa risasi na polisi.
Mashabiki wengi wa Al Masry katika mji wa Port Said, wanadhani kuwa mamlaka imeipendelea klabu ya Al-Ahly, kwa kuwa ni klabu kubwa nchini Misri.
Filimbi ya mwisho ilipo pulizwa katika mchezo baina ya Al-Masry na Al-Ahly February 1 mwaka jana ulipelekea kuzuka kwa vurugu kubwa na watu 130,000 kujeruhiwa vibaya na vitu vyenye ncha kali kama visu, vyuma, kuwasha moto pamoja kuwavamia wachezaji wa Al-Ahly na mashabiki wao karibu.
Watching on: People gathered in public venues to watch the court's decision
Anger: Supporters of Al-Ahly react after the verdict in the Port Said stadium riot trial was announced
Hasira kutoka kwa mashabiki wa Al-Ahly wakionyesha hasira zao.Flames: In Cairo, Al-Ahly fans greeted the verdicts but violence soon erupted
Protest: Al-Ahly fans, also known as 'Ultras', shout slogans against the Interior Ministry
Reaction
Moshi mkubwa ukitoka kutoka katika ofisi za shirikisho la soka la nchini Misri
Fans protesting
Fans protesting
Rescue: An injured security official is carried from a police club in the upscale neighborhood of Zamalek
Unbelievable: A man reacts to the court's decision in Port Said today
wapingaji wa hukumu iliyotolewa katika mji wa Port Said katika picha hii leo.
Law: Death sentences handed out in January were confirmed today by a court in Cairo and greeted with grief
Watching on: People gathered in public venues to watch the court's decision
Watu wamekusanyika kusikiliza hukumu.