KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, April 30, 2013

UKURASA WA HABARI ZA MICHEZO KIMATAIFA: Je Ronaldo atarudi Old Trafford Kiangazi? United kumrejesha Ronaldo?
Manchester United inafiria kutenga kiasi cha fedha kwa ajili ya kumrejesha kundini mshambuliaji wake wa zamani Cristiano Ronaldo aliyeko Real Madrid.
Cristiano Ronaldo alikosekana katika mazoezi ya alhamisi kufuatia kuwa katika hali ya maumivu’
Kumekuwepo na tetesi nzito nchini England hii leo kuwa huenda mshambuliaji huyo akarejea Old Trafford,huku gazeti la kidaku la The Sun likiripoti kwa kina juu ya taarifa hizo.
Mwezi januari kulikuwepo pia taarifa kama hizi ambazo zilisema kuwa endapo United itataka kupata tena huduma ya Ronaldo basi itabidi wavunje kibubu jambo ambalo limeanza kuonyesha dalili..
Kinachotazwa zaidi na United ni juu ya gharama za uhamisho wa mshambuliaji huyo sambamba umri wake wa sasa ambapo kwasasa wanajaribu kufidia madeni ili kwenda sambamba na sera ya kupunguza madeni ya UEFA ya financial policy.
Kufuatia kundi la familia ya Glazer kuonyesha ukali lakini pia kufuatia kuwepo na mkataba mnono wa matango katika ligi ya League na wakichagizwa pia na mikataba ya wadhamini wakubwa ndani ya klabu hiyo, hivyo basi United inatarajia kutoa bajeti kubwa kiangazi hii pengine zaidi ya pauni milioni £20 zaidi ya misimu yote tangu mwakam 2007.
Ada ya Ronaldo inatazamwa huenda ukafikia kati ya pauni milioni £50 mpaka £70.

Klopp: Lazima tuonyeshe busara
 
Dortmund prepare to defend 4-1 lead against Real
Jurgen Klopp anasema vijana wake wa Borussia Dortmund hawata freeze katika mchezo wao dhidi ya Real Madrid licha ya kuwepo kwa ‘historic nature’ ya michuano ya hiyo hasa katika hatua kama  hiyo ya nusu fainali
"katika soka lolote linaweza kutokea mambo ya kutengeneza historia pia huenda yakajitokeza hivyo basi anasema wao kutinga fainali ni historia pia na kama watatolewa pia hiyo itaweka historia pia. Kubwa kwao ni kuutazama mchezo huo.
"msimu uliopita tulikuwa wapinzani wakubwa wa Bayern Munich. Walitaka kutufunga katika fainali ya DFB-Pokal, walitaka kutufunga msimu mzima . Vijana wangu imetulia kwasasa .

Kehl: Madrid wanahitaji miujiza

Nahodha wa Borussia Dortmund Sebastian Kehl amesema Real Madrid wanatakiwa "wa-create a miracle" kuwazuia wajerumani kutinga fainali ya Champions League.

But despite being wary of their cornered foe, Kehl is confident Dortmund are "ready for anything."
"They will try everything, they want to create a miracle," the 33-year-old told reporters.

Baada ya QPR kushuka wapi muelekeo wa Cesar

Hatma ya Julio Cesar bado haijaeleweka ikiwa ni pamoja na kuwepo wa uwezekano wa kurejea kwa Brazil hii ikiwa ni kauli ya wakala wa mlinda mlango huyo wa timu iliyoshuka daraja ya Queens Park Rangers.
Cesar ana umri wa miaka 33, alisaini mkataba wa kudakia QPR akitokea Inter Milan kiangazi iliyopita na tangu wakati huo ameichezea klabu hiyo kwa michezo 24 ya ligi ya Premier ambapo alifanya kazi nzuri licha ya kushuka daraja msimu huu.

Wakati QPR ikishuka kumwekuwepo na tetesi juu ya mlind mlango huyo pamja na wakali wengine wa klabu hiyo akiwemo Cesar.

Carragher sasa kustaafu rasmi soka.
 
Mlinzi wa Liverpool Jamie Carragher amethibtisha kuwa ataastaafu mwishoni mwa msimu na kuanza kazi ya kuwa mchambuzi wa soka kwa njia ya TV na hivyo kumaliza ndoto za Brendan Rodgers kumshawishi kuendelea kucheza soka.
Carragher amecheza jumla ya michezo 734 katika klabu yake katika kipindi cha miaka 16 ndani ya Anfield, ambapo sasa atajiunga na Sky Sports mwezi August.
Wiki mbili zilizopita Rogers alikaririwa akisema ana mapango wa kumsajili mlinzi huyo ambaye kwasasa ana umri wa miaka  35.
Kiangazi iliyopita alifikiri kuacha soka ambapo moja kati ya kazi aliyoifanya Rodgers alipochukua nafasi ya mtangulizi wake Kenny Dalglish ilikuwa ni kuhakikisha ana mpa mkataba wa mwaka mmoja..
Carragher alicheza mchezo mmoja katika nusu ya kwanza ya msimu huu kabla ya Christmas ambapo Rogers alikuwa akiwatumia sehemu ya ulinzi Martin Skrtel Daniel Agger kama partnership katika ulinzi.

Mashabiki wa AC Milan wapigwa faini kwa kumtusi Zanetti

AC Milan imepigwa fainai ya euro €8,000 kufuatia mashabiki wake kumtusi Javier Zanetti wa Inter Milan.
Inter's Zanetti alikuwa akitolewa nje kwa machela kunako dakika ya 17 ya mchezo ambao Inter walifungwa kwa goli 1-0 na Palermo ambapo aliumia msuli mkubwa wa kifundo chan mguu.
Baadaye jumapili mashabiki wa AC Milan wakasikika wakiimba 'Javier Zanetti jump with us' wakati wa mchezo walioshinda kwa mabao 4-2 dhidi ya Catania.

Zanetti, 39, sasa huenda akafanyiwa upasuaji ambao bila shaka utakuweka nje ya uwanja kwa miezi na mawazo ni kwamba huenda ikamaliza maisha ya soka lake.

Rais wa Inter Massimo Moratti amesema:

"It's very sad and I feel really bad for him.
"I spoke to him straight after the injury happened. But with his character he'll be back, there is no doubt about it.
"The fans can't think they won't see him again. They will and he will be back playing his best."

No comments:

Post a Comment