On the rampage: Fans from Bayern Munich and Borussia Dortmund were fighting in London on Saturday |
Mshabiki wa soka kutoka nchini Ujerumani hii leo wametandika vilivyo katika nchi ua ughaibuni ya England ikiwa ni masaa machache kabla ya mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa bara Ulaya baina ya Bayern Munich na Borussia Dortmund.
Timu hizo zitajitupa uwanjani muda mfupi ujao katika uwanja wa Wembley
usiku huu kusaka taji hilo huku dunia ikitarajiwa kuhamia huko japo kwa muda mfupi kushuhudia nini kitatokea katika mchezo huo na timu ipi kati ya hizo itaibuka na ushindi na kutwaa taji hilo.
Kipande cha picha ya video kilichorushwa katika mtandao wa Youtube mapema leo kimeonyesha mashabiki kutoka katika hizo hasimu katika soka la Ujerumani hususani ligi ya Ujerumani Bundesliga walivyokuwa wakirushina vitu vya hatari na kushambuliana.
Maafisa wa polisi walionekana wakivamia eneo la tukio katika sehemu ya mwisho ya kipande hicho cha video kwa lengo la kwenda kutuliza ghasia.
Get back: An officer tells the crowd of football fans to move away after the fighting erupted
Missile: A traffic cone is thrown by a Dortmund supporter at a Bayern Munich fan
Danger: A metal chair is thrown during the breakout of violence before the game at Wembley tonight
Brawling: Violence erupts in London between rival fans from Dortmund and Bayern Munich
Thin blue line: Police officers order the German fans to move away following the clashes
But an estimated 100,000 more are reported to have travelled without tickets by air, coach, ferry and Eurostar.
There were 500,000 applications from Dortmund fans alone.
Many of the football fanatics gathered in Trafalgar Square as they counted down to the match which kicks off at 7.45pm.
No comments:
Post a Comment