KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, May 2, 2013

VILANOVA:Messi hakuwa mgonjwa lakini alikuwa ajisikii vizuri, hivyo asingekuwa na msaada.

  Rested: Lionel Messi was not risked against Bayern Munich on Wednesday

Kocha wa Barcelona Tito Vilanova amethibitisha kuwa mshambhuliaji wake Lionel Mesasi hakuwa mgonjwa kama wengi wanavyo dhani kutokana na kutokumtumia katika mchezo ambao Bacelona walikubali kichapo cha mabao 3-0 katika uwanja wake wa nyumbani wa Camp Nou.

Matokeo hayo yaliifanya klabu hiyo kutolewa kwa kichapo cha jumla cha mabao 7-0 katika michuano ya klabu bingwa barani Ulaya.

Mabingwa wapya wa ligi ya Ujerumani Bundesliga Bayern sasa watacheza fainali dhidi ya Borussia Dortmund mchezo utakaopigwa May 25 katika uwanja wa Wembley.

Mabao ya Bavarians yalifungwa na Arjen Robben, Gerard Pique ambaye alijifunga na Thomas Muller akifunga bao la tatu.

Amenukuliwa Vilanova akisema 
'Messi alikuwa vizuri dhidi ya Athletic Bilbao jumamosi lakini katika mchezo wa mchezo huo wa ligi kule San Mames Messi alijihisi maumivu ya ajabu ' 

'Hakuwa majeruhi lakini alidhani pengine angepatwa na majeraha.
'Jana alifanya mazoezi vizuri lakini hajisikii vizuri sasa pengine asingekuwa na msaada katika timu'

Kocha wa Bayern Munich Jupp Heynckes amesema kuwa kukosekana kwa Messi ni kweli kulikuwa na athari fulani lakini hata kama angekuwepo lisingekuwa tatizo la wao kutokupata mafanikio ya kimatokeo.
Akinukuliwa na televisheni ya Ujerumani ya ZDF amsema 
' kukosekana kwa Messi kulitushangaza lakini ni wazi kuwa tulicheza mchezo mzuri na Barcelona ile ile hata bila ya Messi.
Bridge too far: Tito Vilanova watched his side slump to a humiating aggregate defeat
Tito Vilanova
Bridge too far: Tito Vilanova watched his side slump to a humiating aggregate defeat
Joy: Jupp Heynckes (centre) is set to retire after a hugely successful season with Bayern Munich

No comments:

Post a Comment