Meneja wa
zamani wa Newcastle United Joe Kinnear amethibitisha kuwa amepewa kibarua cha
kuwa mkurugenzi mpya wa soka wa Magpies.
Kinnear
mwenye umri wa miaka 66 ambaye aliiongoza klabu klabu hiyo kama meneja katika
msimu wa mwaka 2008-2009 amesema kuwa atakuwa akifanya kazi ya kusaka
wachezaji.
Newcastle, ambayo
ilimaliza katika nafasi ya tano kutoka nyuma bado kumtangaza rasmi Kinnear kwa
nafasi hiyo.
Meneja huyo
wa zamani Wimbledon amesema anataka kuimarisha timu hiyo bila kuingilia kazi za
kiufundi na uchaguzi wa wachezaji.
Ajira mbalimbali za Joe Kinnear
January 1992:
Appointed manager of Wimbledon
May 1994:
Wins League Managers' Association manager of the year award after Dons finish
sixth in Premier League
1997: Guides
Wimbledon to the semi-finals of FA Cup and League Cup
June 1999:
Suffers heart attack in March during game, stands down from job
February
2001: After a three-month spell as Oxford director of football, Kinnear takes
over as Luton boss before being sacked in May 2003
February
2004: Replaces Paul Hart at Nottingham Forest but resigns after 10 months
September
2008: Appointed interim Newcastle manager after Kevin Keegan resigns
February
2009: Taken ill and undergoes triple heart bypass. Replaced by Chris Hughton
June 2013:
Reveals he is returning to Newcastle as director of football
No comments:
Post a Comment