KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, June 12, 2013

GLORY STEPHEN ATWAA TAJI LA REDD'S MISS ARUSHA 2013

Mrembo aliyetwaa taji la Redd's Miss Arusha Glory Stephen akipungia watu waliokuja kuangalia kinyanganyiro hicho mara baada ya kutangazwa mshindi na  nafasi ya pili ikiwa imeshikiliwa na Nance Mushi

Mwandaaji wa Redd's Miss kanda ya kaskazini Faustin Mwandago akiwapongeza warembo walioshinda kinyanganyiro cha Arusha na kuwaambia wote walioingia tano bora anawapa nafasi ya kushiriki kumsaka mrembo wa kanda ya kaskazini
 
Warembo waliongia katika hatua ya tano bora Redd's Miss Arusha wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutanganzwa wa shindi
Mgeni Rasmi wa sherehe za kumsaka mlibwende wa Arusha (Redd's Miss Arusha)John Mongela katikati Afisa utamaduni wa jiji la Arusha akifuatia wa kwanza kulia ni mwandaaji wa Redd's Miss kanda ya kaskazini Mwandago

No comments:

Post a Comment