KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, June 3, 2013

NEYMAR ATHIBTISHWA KUWA MCHEZAJI WA BARCELONA MBELE YA MAELFU YA MASHABIKIWA NOU CAMP JIONI HII BAADA YA KUFAULU VIPIMO VYA AFYA.......Ni mrefu kwa sentimita 6 zaidi ya Messi lakini mwepesi kwa kilo mbili kwa Messi .....Soma.

 Neymar

 NEYMAR ASAINI KUJIUNGA NA BARCELONA

Neymar afaulu vipimo vya afya.
Weight 10st 3lbs.
Height 5ft 9in.
Neymar ni mrefu kwa sentimita sita zaidi ya Messi lakini pia ni mwepesi kwa kilo mbili kwa Messi.

Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Brazil amejiunga sasa na akina Lionel Messi, Xavi, Andres Iniesta na Daniel Alves ndani ya klabu hiyo hali ambayo inaonekana kuamsha hamasa mpya kwa washambuliaji wakali wa America ya kusini ambayo wangetamani kuelekea barani ulaya
 
Neymar
Neymar
Neymar
Neymar
Neymar
Neymar contract
Barcelona imesaini mkataba wa miaka mitano na mshambuliaji huyo mbele ya Rais wa klabu hiyo President Sandro Rosell.'
Neymar sister
Familia ya Neymar imefurahishwa na kuelekea kwa Neymar katika klabu ya Barcelona kama walivyotupia picha hapo chini ni dada yake akiwa katika jezi ya Barcelona.
Neymar's girlfriend
Pichani anaonekana mpenzi wake na Neymar Bruna Marquezine akiwasili Barca.

Quick bite: Neymar takes the opportunity to eat a meal before his official unveiling as a Barcelona player
Neymar akigonga menu kabla ya kutambulishwa.

Neymar and his father pose as the Brazilian star undergoes his medical
Neymar akiwa na baba yake wakipiga picha ya ukumbusho kabla ya kuanza zoezi la vipimo.

Check-up: Neymar looks relaxed as he undergoes the first part of his medical in a Barcelona hospital

Happy: Neymar posted this picture on Instagram expressing his delight at signing for Barcelona
Neymar akiposti picha yake kupitia Instagram akionyesha furaha yake ya kujiunga na Barcelona.

New kit: Neymar in Barcelona training gear for the first time
Neymar akiwa na uzi wa mazoezi wa Barcelona kwa mara ya kwanza.
Good company: Neymar poses with Carles Puyol and Andres Iniesta
What's all the fuss? A bus of tourists passes the swarm of supporters at the gates of the Nou Camp as they greet Neymar
Getini Nou Camp hali ilikuwa namna hii mashabiki na watalii wakimpa salam japo kwa mbali.

Hizi ni baadhi ya picha wakati akiwasili Nou Camp
Neymar poses for the media after arriving in Barcelona for a medical
Neymar poses for the media after arriving in Barcelona for a medical
Neymar poses for the media after arriving in Barcelona for a medical
Behind bars: Fans clammer to get a sight of their new signing
Wave away: The biggest arrival at Barcelona since a certain Argentine teenager?
Eager: Photographers line-up to take snaps of the new Barcelona star
New kid on the block: Outside the Barcelona offices
Stardom: Neymar next to the Barcelona club crest outside the Nou Camp
Centre of attention: Every photographer in Barcelona will be at the Nou Camp

No comments:

Post a Comment