KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, June 24, 2013

THEO WALCOT AUHAMA UKAPERA RASMI KWA KUFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE WA TANGU UTOTONI MELANIE...............SOMA

Just married: Arsenal footballer Theo Walcott and Melanie Slade wed last week in Italy
Just married: Arsenal footballer Theo Walcott and Melanie Slade wed last week in Italy

 Theo Walcott amefunga ndoa na sweetheart wake wa tangu utotoni Melanie Slade katika hafla iliyofanyika wiki iliyopita.

Nyota huyo wa Arsenal ameona na Melanie katika nzuri iliyofanyika huko Castello Di Vincigliata mjini Florence, ikiwa ni miaka kumi imepita tangu wawili hao walipokutana wakati huo Walcott akiwa huko Southampton.

Waageni waalikwa waliambiwa kutokupeleka zawadi kwa wanandoa hao bali wachangie mfuko wa Willow Foundation, ulioanzishwa na mkongwe wa Arsenal Bob Wilson na Macmillan Cancer Support kwa ajili ya dada yake ya bi harusi Sarah ambaye aligundulika kuwa na matatizo ya kansa ya ini akiwa na umri wa miaka 16.

The full interview is in the new edition of Hello! which is out now
Mahojiano zaidi yakon ndani ya kijarida hicho hapo juu kinachotambuliaka kama Hello! ambacho kimeshatoka na kipo mitaani. 

Walcott aliwaalika wachezaji wenzake wengi wakiwemo akina Kieran Gibbs, Laurent Koscielny, Aaron Ramsey na Thomas Vermaelen na Alex Oxlade-Chamberlain.

Akiongea na kijarida hicho cha Hello! nyota huyo mwenye umri wa miaka 24 amesema 
'Ni furaha isiyokifani kwani hatimaye nimeona na Melanie na sasa mke wangu'.

'Sasa tuna anagalia maisha yetu ya baadaye'.

Starting out: A teenage Theo and Melanie in December 2006
Theo na Melanie hii picha ya Desemba 2006.

In action: Walcott scored 14 goals in 34 Premier League appearances for the Gunners last season
Walcott amefunga jumla ya mabao 14 katika jumla ya michezo 34 ya ligi kuu ya England Premier League msimu uliopita.

No comments:

Post a Comment