KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, July 15, 2013

MANCHESTER UNITED YATINGISHA KIBIRITI CHA BARCELONA WAKIMTAKA CESC FABREGAS.

Heading back to England? United have offered Barcelona £26m for Fabregas
 United wameweka mezani ofa ya pauni milioni £26 kwa ajili ya Fabregas.

Klabu ya Manchester United imewasilisha ombi la kutaka kumsajili mcheza kiungo wa klabu ya Barcelona Cesc Fabregas.
Ripoti zinasema kuwa Manchester United inataka kumsajili mchezaji huyo wa zamani wa Arsenal kwa kitita cha pauni milioni ishirini na tano.

Wasimamizi wa Barcelona kwa sasa wanajadili pendekezo hilo, lakini inaaminika kuwa kiasi walichopendekeza ni kidogo.
Licha ya kuwa Fabregas hajaomba kuruhusiwa kuondoka, lakini kuna fununu kuwa huenda akashawishika kurejea tena nchini England.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26, huenda akakubali kujiunga na Manchester United ikiwa wasimizi wa Barcelona watakubali kiasi kilichopendekezwa na Manchester United.
Smart: Fabregas arrives with girlfriend Daniella Semaan at Barcelona team-mate Xavi's wedding on Saturday
Fabregas akiwa na mpenzi wake Daniella Semaan pichani wanaonekana wakiwasili katika harusi ya mchezahji mwenzake Xavi siku ya jumamosi.

Red Devils? Fabregas (left) and Robin van Persie could be reunited following their spell at Arsenal
Fabregas (kushoto) na Robin van Persie huenda wakaungna tena katika klabu ya Arsenal.

No comments:

Post a Comment