KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, July 15, 2013

MAPUMZIKO YA KIANGAZI BADO YANAENDELEA, TAZAMA BALOTELLI NA MPENZI WAKE FANNY NEGUESHA WANAVYOENDELEA KUPUMZIKA LAKINI PIA WACHEZAJI WA CHELSEA WANAVYOFURAHIA MAISHA YA BANGKOK LAKINI PIA ANDREA PIRLO NA MKEWE DEBORAH.

Just chillin': Mario Balotelli posted this picture on his twitter account of him and girlfriend Fanny Neguesha
Just chillin': Mario Balotelli ametupia picha hii katika ukurasa wake wa twitter akiwa pamoja na mpenzi wake anayempenda sana Fanny Neguesha

 Mario Balotelli (Lake Garda)
Mshambuliaji wa AC Milan na hapo kabla akiichezea Man City Mario Balotelli amekuwa katika mapumziko huko Lake Garda, akiwa na mpenzi wake Fanny Neguesha.
Wawili hao walikuwa wakifurahia jua la kiangazi katika ziwa kubwa huko Italia.
Balotelli ametupia picha yake akiwa anaendesha gari la mwendo kasi aina ya Ferraris na nyingine nyingi akiwa na mavazi ya mapumziko akiwa na madini shingoni.
Fast cars: Balotelli also hung out with some pals and a few Ferraris
Balotelli akiwa karibu na magari ya kampuni ya Ferraris akiwa na marafiki.
 
Cheeky: Balotelli also posted this picture of himself in a fetching pair of shorts
Balotelli pia ametupia picha hii akifanya mazoezi ya kutupa mateke.
 
Andrea Pirlo (Ibiza)
Ni moja kati ya mambo ya mvuto ni kumuona Andrea Pirlo akiwa ufukweni akiota jua la kiangazi katika pwani ya Ibiza.
Amekuwa akifurahia mapumziko yake kabla ya kurejea katika maandalizi ya msimu mpya katika klabu yake ya Juventus.
Pirlo alikuwa huko na mkewe (kama anavyoonekana katika picha ya chini akiwa na watoto wake).
Floating: Andrea Pirlo was just relaxing in Ibiza with his wife and... his magnificent beard
Andrea Pirlo akifurahia mapumziko yake katika pwani ya Ibiza akiwa na mkewe. 

Chilled out: Deborah Roversi (left) is Pirlo's wife. They married in 2001
Deborah Roversi (kushoto) mke wa Pirlo walifunga ndoa mwaka 2001
 
Chelsea wakiwa Bangkok
Yeah, OK, ni kama wachezaji wa Chelsea hawako katika holiday - lakini ukweli ni kwamba kazi imeenza kwa kikosi cha Jose Mourinho.
Lakini Romelu Lukaku, Ryan Bertrand, Kevin De Bruyne na Nathaniel Chalobah wanaonekana wakifurahia utulivu wa maji ya bwawa la kuogelea huko Bangkok.

Pool punks: Romelu Lukaku, Ryan Bertrand, Kevin De Bruyne and Nathaniel Chalobah
Romelu Lukaku, Ryan Bertrand, Kevin De Bruyne na Nathaniel Chalobah.
 

No comments:

Post a Comment