KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, August 17, 2013

Hatuwahitaji Luiz wala Agger anasema bosi wa Barcelona Martino Tata.

Not needed: Barcelona were thought to be chasing a centre-back this summer, with David Luiz (above) and Daniel Agger top of the list
Hatuna haja: Barcelona walikuwa wakidhaniwa kumfukuzia mlinzi wa kati David Luiz (juu) na Daniel Agger.
Not needed: Barcelona were thought to be chasing a centre-back this summer, with David Luiz (above) and Daniel Agger top of the list
Barcelona imekuwa ikisumbuliwa na sehemu ya ukuta wa nyuma wa kikosi chao msimu uliopita kutokana na ukweli kwamba imeshindwa kuvumilia kichapo cha mabao 7-0 ukiwa ni ushindi wa jumla kwa Bayern Munich katika michuano ya klabu bingwa Ulaya.

Hata hivyo meneja mpya Martino akashuhudia akiwekewa ngumu na Brendan Rodgers na Jose Mourinho.

Rodgers alijaribu kumpa nafasi ya unahodha msaidizi kwa lengo la kumshawishi kusalia Anfield, ilhali Mourinho akinukuliwa akisema juu ya Luiz
 'Tunataka kusalia naye na tunajua klabu kubwa kama Barcelona inataka kufanya vema na inajaribu kupata mlinzi bora wa kati duniani lakini lakini lazima tuwe wa kweli kwa kusema kuwa hakuna nafasi kwa David Luiz kuondoka.'
Expectant: Tata Martino speaks to the media ahead of his first competitive game in charge of Barca
Tata Martino akiongea na waandishi wa habari kabla ya kuelekea katika mchezo wa kwanza wa ligi.

No comments:

Post a Comment