Daniel Sturridge kushoto aliyefunga goli muhimu kwa Liverpool dhidi ya Stoke City. |
Liverpool imeanza vema msimu wa ligi kuu nchini England Premier League kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stoke.
Katika mchezo huo vijana hao wa Anfield, walipata bao lao kupitia kwa Daniel Sturridge kwa juhudi binafsi katika kipindi cha kwanza huku mlinda mlango Simon Mignolet akiokoa penati kunako dakika ya 88 katika mchezo wake wa kwanza.
Brendan Rodgers aliwaanzisha Iago Aspas na Kolo
Toure huku mlinda mlango aliyenunuliwa kwa pauni milioni £9 Mignolet
akianza golini.
No comments:
Post a Comment