KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, August 10, 2013

Newcastle United offered cut-price deal for Anzhi outcast Samuel Eto’o

Kwaheri Eto'o Anzhi hawamtaki has have told Samuel Eto’o he can leave (Picture: Getty)


Newcastle United imeweka ofa mezani ya kumtaka mshambuliaji Samuel Eto’o wakati huu klabu yake ya ikijaribu kutaka kutaka kumpunguza mshambuliaji huyo anayelipwa fedha nyingi zaidi dunia.

Anzhi iliweka historia pale ilipotangaza kuwa mshambuliaji huyo aliyejiunga na klabu hiyo akitokea katika klabu ya Inter Milan mwaka 2011 kwa ada ya uhamisho ya pauni £17 kuwa atakuwa akilipwa kwa wiki pauni £350,000.

Hata hivyo klabu hiyo ya nchini Urusi wiki hii ilitangza kutaka kupunguza bajeti yake kwa asilimia 60 na mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 32 akiambiwa wazi kuwa anapaswa kutafuta klabu nyingine.

Npoli ya Italia Napoli na Genoa tayari inaarifiwa kuwa wameanza kuwasiliana na Anzhi kwa lengo la kuzindua mazungumzo wakati ambapo wakala wake akitaka kumtafutia timu nchini England.

Keen: Joe Kinnear is considering bagging Eto’o (Picture: Getty)
 Kwa mujibu wa taarifa kutoka nchini Urusi, zinasema kuwa Chelsea wameonekana kuweka nia ya kumtaka mshambuliaji huyo lakini Newcastle ndio ambao rasmi wameweka ofa mezani ya kumsajili Eto’o kwa ada nusu ya thamani yake.

Mkurugenzi wa michezo wa Magpies Joe Kinnear bado hajatolea majibu taarifa hizo lakini lakini taarifa zaidi zinasema kuwa hunda klabu hiyo kubwa nchini England inamtaka Eto kwa pauni milioni £5 na huku ikipinguza zaidi kiwango cha mshahara wake endapo kama atataka kujiunga St James’ Park.

Loic Remy ndiye mshambuliaji aliyejiunga na Newcastle kwa mkopo akitokea QPR, lakini pia kuna mpango wa kutaka kuwanasa Bafetimbi Gomis na Darrent Bent licha ya mpango huo kuonekana wazi kudorora.

No comments:

Post a Comment