KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, August 17, 2013

USAIN BOLT ATISHA TENA DUNIA, ASHINDA MBIO ZA DUNIA ZA MOSCOW AKITWAA MEDALI YA PILI MITA 200.

He's done it again: Usain Bolt is mobbed by photographers after claiming his second medal of the championships
Usain Bolt tena akizongwa na waandishi wa habari baada ya kushinda medali yake ya pili ya michuano ya dunai ya riadha huko Moscow.
Over the line: Usain Bolt saw off the competition again to storm to glory in the 200 metres final
Usain Bolt
Lightning does strike twice: Usain Bolt claimed his second individual gold medal of the Championships

Usain Bolt ametisha tena duniani kwa kunyakuwa taji la 13 la dunia kwa ushindi wa mbio za mita 200 katika michuano ya dunia ya mbio mjini Moscow.

Bolt raia wa Jamaican ameshinda mbio hizo kwa kutumia muda wa sekunde 19.66 ikiwa ni siku sita baada ya kutwaa mbio za mita 100.
 
Mpinzani wake ambaye ni rafiki yake wa mazoezi Warren Weir ameshinda medali ya fedha kwa kushika nafasi ya pili akitumia muda wa sekunde 19.79 huku Mmarekani Curtis Mitchell akishinda medali ya shaba baada ya kutumia sekunde 20.04.
 
Adam Gemili, ambaye katika nusu fainali siku ya Ijumaa alikuwa mwingereza pekee kuvuka muda wa sekunde 20 alipokimbia kwa kutumia sekunde 19.98, hakuweza kufanya hivyo hii leo lakini ameshika nafasi ya tano kwa kutumia sekunde 20.08.

Baada ya kufanikiwa kushinda mbio za leo, alionekana akishangilia pamoja na Weir wimbo wa Bob Marley wa 'Three Little Birds'.

No comments:

Post a Comment