KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, August 12, 2013

Wakati United wakismea Rooney ni majeruhi, bosi wa timu ya taifa Roy Hodgson anasema kwa upende wake yuko fiti kuelekea katika mchezo dhidi ya majirani zao Scotland..

Return: Wayne Rooney was left out of Manchester United's squad for the Community Shield
Wayne Rooney aliachwa na Manchester United katika mchezo wa Community Shield
Fit, Wayne? Roy Hodgson keeps his eye on Rooney during the training session
Roy Hodgson kumpa nafasi Rooney
Wayne Rooney

 Meneja wa kikosi cha timu ya taifa ya England Roy Hodgson ameziweka kando taarifa zinazo muhusu mshambuliaji Wayne Rooney kuwa ni majeruhi wakati huu akijiwinda na machezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Scotland.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 27 hakucheza mchezo wa ngao ya jamii (Community Shield) kufuatia kusumbuliwa na bega hizi zikiwa ni taarifa kutoka katika klabu yake ya Manchester United, lakini kwa upande wake Hodgson amesema hakuna ushahidi wa hilo zaidi.
Menukuliwa Hodgson akisema 
'Ni ngumu kujua kwa macho ni kiasi gani mtu mzima alivyo lakini hakuna shaka kuwa alikuwa akuumwa majeraha.
'Tunazo data kutoka katika mazoezi yetu na itakuwa vema kujua hilo lina ukubwa gani. Kwa kuwa amekuwa na majeraha hataweza kufanya mazoezi kama tulivyofanya leo.
'Amekuwa akifanya mazoezi binafsi kwasababu Manchester United ilicheza michezo kadhaa lakini alikuwa akifanya mazoezi ya kujenga mwili na leo alikuwa katika mazoezi ya kucheza mpira.
'Nimekuwa nikiendelea kuongea naye tangu tulipoanza mazoezi lakini nategemea atakuwa vizuri.Southampton boys: Former Saints Theo Walcott and Alex Oxlade-Chamberlain along with Rickie Lambert
Theo Walcott , Alex Oxlade-Chamberlain na Rickie Lambert kwa pamoja katika mazoezi ya 
'Sitaki kuongelea juu ya kama hachezi katika klabu yake kwamba pia hatacheza katika kikosi cha England. Pale atakapo patikana kwa England atacheza kwasababu ni mmoja kati ya wachezaji wetu bora'.

Dreamland: Rickie Lambert warming up for England training with Jack Wilshere (left) and Steven Gerrard
Rickie Lambert akipasha pamoja na Jack Wilshere kushoto na Steven Gerrard

Rickie Lambert
Wayne Rooney
Wayne Rooney na Lambert
In the mood: A smiling Rooney alongside another striker, Jermain Defoe
 Rooney akiwa na Jermain Defoe

No comments:

Post a Comment