Anabusu nembo
Bale akipiga mpira kwa mashabiki wakati wa utambulisho.
Akiwa na faimilia yake ndani ya Santiago Beranabeu mchana wa leo
Bale akiungana na familia yake wakikanyaga nyasi za Bernabeu.
Bale akikabidhiwa jezi nambari 11 na Rais wa klabu hiyo Florentino Perez ndani ya viunga vya Beranabeu.
Mshambuliaji huyo aliongea kispanyora na nembo ya Madrid
- Bale ameuita uhamisho wake kama 'a dream come true' kabla ya kuingia uwanjani
- Family imejiunga naye katika hafla ya uatambulisho wake uliofanywa na Rais president Perez
- Mashabiki wafurahia na kumwita jina lake 'Gareth Bailey'
Michezo ya awali kuichezea Madri inatakuwa ni kama ifuatavyo
v Villarreal (A) - Sunday September 15
v Getafe (H) - September 22
v Elche (A) - September 25
v Athletico Madrid (H) - September 29
v FC Copenhagen (H) - October 2
FIRST EL CLASICO
v Barcelona (A) - October 27
v Getafe (H) - September 22
v Elche (A) - September 25
v Athletico Madrid (H) - September 29
v FC Copenhagen (H) - October 2
FIRST EL CLASICO
v Barcelona (A) - October 27
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24 atakuwa na siku kadhaa za kupumzika katika mji wa Madrid kabla ya kusafiri na kuelekea Macedonia akiwa na timu ya taifa ya Wells kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia.
Ananukuliwa akisema maneno haya chini.
'I
just want to say that it’s absolutely amazing to be here; a dream
come true,'
Amekaririwa Bale wakati akitambulishwa mbele ya mashabiki kiasi cha 30,000 utambulisho uliofanywa na Rais wa Real Florentino Perez ambaye naye alisikika akisema.
'I hope can help the team bring
success to the club. And hopefully bring a tenth European title.'
CHANGAMOTO MBELE YAKE
Gareth Bale to get more goals than Cristiano Ronaldo in La Liga this season - 10/1
Total La Liga Goals - Over 16.5: 5/6; Under 16.5: 5/6
Total La Liga Goals - Over 16.5: 5/6; Under 16.5: 5/6
Perez
said: 'This is your stadium, this is your shirt, this is your field and
these are your fans. From now on this is your home. Welcome to your
team. Welcome to Real Madrid.
'Challenges
are constant, even after victory but never forget the energy of this
stadium will be your ally. Many great players have played here and you
will be one of their heirs.
'We
always want to add the best players in the world. That is one of our
identity traits and that is what made RM according to FIFA the best club
in the 20th century.'
Real’s
president admitted negotiations with Tottenham had been 'intense' and
'complex' but he did thank Spurs for allowing Bale to follow his dream.
'We finally made it and he is here, to be part of our team.'
Madrid magician: Gareth Bale akifanya vitu vyake mbele ya mashabiki ndani ya Bernabeu.
Jezi kibao zimeingia sokoni na watu wakichangamkia katika maduka ya jiji la Madrid.
No comments:
Post a Comment