Theo Walcott akikabiliana na mlinda mlango wa Ukraine Andriy Pyatov Jumanne.
Roy Hodgson
Kikosi cha kocha wa England Roy Hodgson kimeshuka kwa nafasi tatu kwa mujibu wa viwango vipya vya ubora wa vilivyotolewa leo na shirikisho la soka duniani FIFA ambapo England imeshika nafasi ya 17 baada ya kupata matokeo mabaya dhidi ya Ukraine Jumanne wiki hii.
Hii ni nafasi ya chini zidi tangu mwaka 2001 ambapo walishika nafasi ya 17 chini ya Kevin Keegan ambapo kiwango cha ubora kilipandishwa upya na kocha aliyefuatia Sven-Goran Eriksson.Mwezi August mwaka uliopita England ilipanda kuliko wakati wote na kushika nafasi ya tatu licha ya kwamba ukosoaji kujitokeza kwani hawakuwa na matokeo mazuri ya michuano ya Ulaya kwa mwaka 2012.
Viwango vya mwezi Septemba vya kuanzia nafasi ya 1 mpaka ya 10
[August ranking in brackets]
1. Spain (1)
2. Argentina (4)
3. Germany (2)
4. Italy (6)
5. Colombia (3)
6. Belgium (10)
7. Uruguay (12)
8. Brazil (9)
9. Netherlands (5)
10. Croatia (8)
1. Spain (1)
2. Argentina (4)
3. Germany (2)
4. Italy (6)
5. Colombia (3)
6. Belgium (10)
7. Uruguay (12)
8. Brazil (9)
9. Netherlands (5)
10. Croatia (8)
SEPTEMBER FIFA RANKINGS (11-20)
[August ranking in brackets]
11. Portugal (7)
12. Greece (11)
13. United States (19)
14. Switzerland (15)
15. Russia (16)
16. Chile (21)
17. England (14)
18. Bosnia-Herzegovina (13)
19. Ivory Coast (18)
20. Ecuador (17)
11. Portugal (7)
12. Greece (11)
13. United States (19)
14. Switzerland (15)
15. Russia (16)
16. Chile (21)
17. England (14)
18. Bosnia-Herzegovina (13)
19. Ivory Coast (18)
20. Ecuador (17)
Kushika mpaka nafasi ya 17 kutaibua ukosoaji mkubwa kwa Hodgson, ambaye ambaye bado ana saka nafasi ya kufuzu kombe la dunia mwakani nchini Brazil.
Greece,
Switzerland Marekani ni mataifa matatu ambayo yamepanda kuliko England huku Russia, ambayo inafundishwa na bosi wa zamani wa Three Lions Fabio Capello, ikifanya vizuri kwa nafasi moja.
No comments:
Post a Comment