Bao la Yanga limefungwa na Hamisi kiiza latosha kuiipa Yanga ushindi dhidi RUVU SHOOTING.
|
Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa akimtoka mlinzi wa Ruvu Shooting y Pwani Stefano Mwesika katika mchezo uliofanyikia uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mchezo huo Yanga imechomoza na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Hamisi Kiiza. |
|
Wachezaji wa Yanga wakishangia bao lilifungwa na Hamisi Kiiza katikati pichani katika mchezo ambao Yanga wameibuka na ushindi wa bao 1-0 uwanja wa taifa. |
No comments:
Post a Comment