KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, September 23, 2013

Senegal wanambela kutaja ni wapi watacheza mchezo wao dhidi ya Ivorycoast.

Senegal bado haijaamua ni wapi mchezo wao wa hatua ya mwisho ya mtoano wa kufuzu kombe la dunia dhidi ya Ivory Coast, utakapochezwa na hivyo kushindwa kufikia tarehe ya mwisho waliyopewa na shirikisho la soka dunia Fifa ambayo ilikuwa ni Septemba 20 .
Mchezo huo hautafanyika katika uwanja wa taifa wa Senegal kwa kuwa bado wanatumikia adhabu ya kifungo cha kutokucheza nyumbani kufuatia mchezo uliozua tafrani Oktoba 2012.
Rais wa shirikisho la soka nchini Humo SFA Augustin Seghor amenukuliwa akisema 
"We will play in Morocco or Guinea.
"We have meetings today and tomorrow and then we will decide."
Africa's final round of qualification for next year's tournament in Brazil sees 10 teams involved in five two-legged ties to be played in October and November.
Kwa ripoti ni kwamba fifa ilitaka mpaka kufikia Ijumaa iliyopita kila shirikisho kuthibitisha ni wapi michezo hiyo itapigwa.

No comments:

Post a Comment