KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, September 26, 2013

SUAREZ KUPEWA MKATABA MPYA NA LIVERPOOL.

Mkurugenzi mkuu wa Liverpool Ian Ayre amesema klabu yake itampa Luis Suarez ofa nyingine ya mkataba mpya baada ya kumalizika kwa msimu huu.
Nyota huyo wa kimataifa wa Uruguay hakufanya siri kutaka kuendelea kusalia kwa msimu mwingine katika viunga vya Anfield wakati wa kiangazi ambapo mambo mawili ya usajili yalipotupiliwa ambali ambapo Ayre amedai kuwa alikuwa akikaribia kuharibu nembo ya Liverpool.
Suarez alirejea katika orodha ya wachezaji wa kikosi cha kwanza cha meneja Brendan Rodgers katika mchezo wa michuano ya Capital One usiku wa jana dhidi ya Manchester United baada ya kukosekana kwa michezo 10 aliyokuwa amefungiwa na kwamba sasa anatazama mustakabali wake wa baadaye ndani ya klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment