KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, September 4, 2013

Wakati Ozil akifurahia kujiunga na Arsenal mkewe anataka kuishi Chelsea.

Popular: Miss Capristo is set to take the London social scene by storm now her boyfriend has joined ArsenalThe Premier League's star man: Mesut Ozil pictured in an Arsenal kit
Mesut Ozil ndani ya jezi ya Arsenal
Mesut Ozil
Mesut Ozil

The long road to work: Capristo has been looking at flats in Chelsea, far away from Arsenal's training ground
Mpenzi wake na Ozil, Capristo ametafuta nyumba ya kuishi katika flats huko Chelsea, mbali sana na uwanja wa mazoezi wa Arsenal kama ramani inavyoonyesha hapo juu.

Mandy Capristo
Mesut Ozil

Mesut Özil na mpenzi wake mwimbaji Mandy Capristo katika harakati za kuhamia London baada ya mchezaji huyo kujiunga na Arsenal akitokea Real Madrid kwa ada ya pauni milioni  £42.5.

Together: The couple have been dating for less than a year but seem particularly loved-up
Wawili hao wamekuwa wapenzi katika kipindi cha nusu ya mwaka lakini wanaonekana wameshibana vilivyo.
Read all about it: German paper Bild revealed Capristo's preference of area in London... Chelsea
Gazeti la kijerumani la Bild limeandika kuwa Capristo anataka kuishi eneo la Chelsea huko London.

Nyota mpya wa Arsenal Mesut Ozil anauhakika wa kufanya mambo makubwa katika klabu yake mpya lakini mpenzi wake nyota wa muziki aina ya Pop Mandy Capristo amekuwa mtata akitaka kuishi mbali ya uwanja wa mazoezi katika kitongoji cha Chelesea ambako ni mbali na uwanja wa mazoezi wa Arsenal katika jiji la London.

Kwa mujibu wa gazeti la Kijerumani la Bild limeandika kuwa mwanamke huyo ameaagiza marafiki zake kumtafutia sehemu ya kuishi katika jiji la London kwa masharti ya kuwa nyumba hiyo iwe na vyumba sita ikiwa ni pamoja na jiko na bafu na gharama iwe kiasi cha pauni £6,500 kwa mwezi.

Tatizo moja kubwa ni kuwa nyumba moja iliyopatikana iko Chelsea, ambapo ni kitu kigumu kwa mashabiki wa Arsenal kwa mbali na yote pia ni mbali na uwanja wa mazoezi mile 25 kaskazini mwa jiji la London.

Capristo anatakuwa kuishi ya kifahari kama ilivyo kwa wake wa wachezaji soka maarufu duniani footballing WAGs akiwa na ustaa wake wa muziki kama ilivyo akina Posh na Becks'.

Ozil, ambaye Mturuki ambaye pia ni muislamu na anayefuata uislamu lakini mpenzi wake ambaye ni maarufu kwa muziki huko Ujerumani kwa kucheza na kuimba muziki na kufanya vipindi vya TV nchini ujerumani anataka kuendeleza sanaa na umaarufu wake.


Glamour: Miss Capristo rose to fame through TV talent shows and is now a popular solo artist too
Mesut Ozil

Atakuwa akiungana na wake wengine wa mastaa wa soka wanaoishi England kama Coleen Rooney, Abbey Crouch na aliye maarufu kuliko wote mwanamuziki wa zamani wa kundi la Spice Girl Victoria Beckham.
The new Posh and Becks? The German pair have drawn comparisons to David and Victoria Beckham


Stunner: Capristo on stage
Stunner: Capristo on stage
The originals: David Beckham and his wife Victoria
The originals: David Beckham and his wife Victoria
Footballer David Beckham (L) and Singer Victoria Beckham


No comments:

Post a Comment