Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amechukua fursa nyingine kuwasifu washambuliaji wa Monaco Radamel Falcao na Paris Saint-Germain Edinson Cavani na kudhani kuwa si washambuliaji wa kawaida.
Mfaransa huyo anaamini kuwa Falcao ni hatari anapokaribia lango la mpinzani ambapo pia Cavani is more mobile, lakini pia hakusita kusema kuwa washambuliaji hao ni miongoni mwa washambuliaji hatari duniani.
amenukuliwa akisema
"Naamini kuwa ni vigumu wakutofautisha kwasababu wanafanana, Ndani yao ni kama wanyama. Wote ni wanyama" Wenger amenukuliwa na Bein Sport.
"Cavani is a bit more mobile, and makes more runs off the ball, and Falcao is a bit more of a box player, a bit more of a killer than Cavani.
"But both of them, I love. And honestly, not to protect one or the other, but it's very difficult to make a difference between the two."
Cavani amefunga magoli mawili ndani ya ligi tangu ajiunge na PSG akitokea Napoli kiangazi, wakati ambapo Falcao amefunga jumla ya magoli manne ndani ya ligi ya Ufaransa baada ya michezo mitano katika ligi hiyo maarufu kama Ligue 1.

No comments:
Post a Comment