KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, October 21, 2013

Kocha wa zamani wa Senegal Metsu azikwa hii Dakar.

Mazishi ya Bruno Metsu yamegfanyika hii leo nchini Senegal on Monday, na kushuhudiwa na Rais Macky Sall ambaye alitoa salamu rambirambi kwa mfaransa huyo.
Kocha huyo wa zamani wa kikosi cha timu ya taifa ya Senegal alifariki dunia kwa maradhi ya kansa akiwa na umri wa miaka 59 mazishi yake yamefanyika jijini Dakar.
Sall amesema mfaransa Metsu, ambaye aliiongoza Senegal mpaka fainali za kombe la dunia na kuishia robo fainali amemtaja Metsu kama ni mtu mwenye utu na upendo".
Pia alimwita 
"Shujaa miongoni kwa mashujaa wa Senegal".

Mshambuliajiwa Leeds United El Hadji Diouf na kiungo wa zamanin wa Bolton Wanderers Khalilou Fadiga walikuwa ni miongoni mwa wahudhuriaji katika mazishi hayo yaliyofanyika  nchini humo.
Katika mazishi hayo waombolezaji walikuwa wamevalia T-shirts zilizokuwa na ujumbe "Thank you Metsu" mazishi ambayo pia yamehudhuriwa na majane wa marehemu Viviane Dieye Metsu alikuwa pamoja na watoto wa marehemu pamoja na wanasiasa wengine mashuhuri

No comments:

Post a Comment